Psalms 91:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu asema: “Nitamwokoa yule anipendaye; nitamlinda anayenitambua!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu asema, “Kwa kuwa ananipenda, nitamwokoa; nitamlinda, kwa kuwa analikiri Jina langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu asema: “Nitamwokoa yule anipendaye; nitamlinda anayenitambua!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA asema, “Kwa kuwa ananipenda nitamwokoa; nitamlinda kwa kuwa amelikubali Jina langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana asema, “Kwa kuwa ananipenda, nitamwokoa; nitamlinda, kwa kuwa analikiri Jina langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu asema: “Nitamwokoa yule anipendaye; nitamlinda anayenitambua!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa ameshikamana na mimi, nitamwopoa, kwa kuwa analijua Jina langu, nitamkweza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anasema: “Nitamwokoa yule anayenipenda; nitamulinda anayejua jina langu!