Psalms 91:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamridhisha kwa maisha marefu, nitamjalia wokovu wangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa siku nyingi nitamshibisha na kumwonesha wokovu wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonyesha wokovu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamridhisha kwa maisha marefu, nitamjalia wokovu wangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa siku nyingi nitamshibisha na kumwonyesha wokovu wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa siku nyingi nitamshibisha na kumwonyesha wokovu wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonesha wokovu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamridhisha kwa maisha marefu, nitamjalia wokovu wangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wingi wa siku zake za kuwapo ndio, nitakaomshibisha, nimchangamshe, akiuona huo wokovu wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonyesha wokovu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamupa maisha marefu, nitamujalia wokovu wangu.”