Psalms 91:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu; Mungu wangu, ninayekutumainia!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitasema kumhusu Mwenyezi Mungu, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu, ninayemtumaini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitasema, Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu; Mungu wangu, ninayekutumainia!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitasema kuhusu BWANA, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu, ambaye ninamtumaini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitasema kumhusu bwana, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu, ambaye ninamtumaini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu; Mungu wangu, ninayekutumainia!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
humwambia Bwana: Kimbilio langu, tena ngome yangu, Mungu wangu, nimwegemeaye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
utaweza kumwambia Yawe: “Wewe ni kimbilio langu ninamojificha, Mungu wangu ninayemutumainia!”