Psalms 91:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika Mungu atakuokoa katika mtego; atakukinga na maradhi mabaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji, na maradhi ya kuambukiza ya kuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Yeye atakuokoa na mtego wa mwindaji, Na katika tauni iharibuyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika Mungu atakuokoa katika mtego; atakukinga na maradhi mabaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji na maradhi ya kuambukiza ya kuua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji, na maradhi ya kuambukiza ya kuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Yeye atakuokoa kutoka kwenye mtego wa mwindaji, Na katika maradhi mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika Mungu atakuokoa katika mtego; atakukinga na maradhi mabaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yeye ndiye aniokoaye tanzini mwa mwindaji, namo mwenye kipindupindu kiangamizacho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Yeye atakuokoa na mtego wa mwindaji, Na katika tauni iharibuyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika Mungu atakuokoa katika mutego, atakukinga na magonjwa mabaya.