Psalms 91:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atakufunika kwa mabawa yake, utapata usalama kwake; mkono wake utakulinda na kukukinga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakufunika kwa manyoya yake, chini ya mabawa yake utapata kimbilio, uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atakufunika kwa mabawa yake, utapata usalama kwake; mkono wake utakulinda na kukukinga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakufunika kwa manyoya yake, chini ya mbawa zake utapata kimbilio, uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakufunika kwa manyoya yake, chini ya mbawa zake utapata kimbilio, uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atakufunika kwa mabawa yake, utapata usalama kwake; mkono wake utakulinda na kukukinga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa manyoya yake atakufunika, namo mabawani mwake ndani utakimbilia, welekevu wake ni ngao, hata kingio.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakufunika kwa mabawa yake; utapata usalama kwake. Uaminifu wake ni ngao ya kukinga.