Psalms 91:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huna haja ya kuogopa vitisho vya usiku, wala shambulio la ghafla mchana;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutaogopa vitisho vya usiku, wala mshale urukao mchana,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huna haja ya kuogopa vitisho vya usiku, wala shambulio la ghafla mchana;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutaogopa vitisho vya usiku, wala mshale urukao mchana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutaogopa vitisho vya usiku, wala mshale urukao mchana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hutaogopa hatari za usiku, Wala mshale urukao mchana,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huna haja ya kuogopa vitisho vya usiku, wala shambulio la ghafla mchana;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hutaogopa mastusho ya usiku, wala mshale upigwao mchana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hautaogopa vitisho vya usiku, wala shambulio la rafla muchana.