Psalms 91:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
huna haja ya kuogopa baa lizukalo usiku, wala maafa yanayotokea mchana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wala maradhi ya kuambukiza yanayonyemelea gizani, wala tauni iharibuyo adhuhuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
huna haja ya kuogopa baa lizukalo usiku, wala maafa yanayotokea mchana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wala maradhi ya kuambukiza yanayonyemelea gizani, wala tauni iharibuyo adhuhuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wala maradhi ya kuambukiza yanayonyemelea gizani, wala tauni iharibuyo adhuhuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala mapigo yajayo usiku, Wala maafa yatokeayo adhuhuri,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
huna haja ya kuogopa baa lizukalo usiku, wala maafa yanayotokea mchana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala kipindupindu kinyatiacho gizani, wala magonjwa mengine mabaya yauayo na mchana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hautaogopa ugonjwa mukali unaotokea usiku, wala hasara inayotokea muchana.