Psalms 91:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa macho yako mwenyewe utaangalia, na kuona jinsi watu waovu wanavyoadhibiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utatazama tu kwa macho yako na kuona adhabu ya waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila kwa macho yako utatazama, Na kuyaona malipo ya wasio haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa macho yako mwenyewe utaangalia, na kuona jinsi watu waovu wanavyoadhibiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utatazama tu kwa macho yako na kuona adhabu ya waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utatazama tu kwa macho yako na kuona adhabu ya waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila kwa macho yako utatazama, Na kuyaona malipo ya wasio haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa macho yako mwenyewe utaangalia, na kuona jinsi watu waovu wanavyoadhibiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli, macho yako yenyewe yatavitazama; jinsi wasiomcha Mungu wanavyolipishwa, utaviona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila kwa macho yako utatazama, Na kuyaona malipo ya wasio haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa macho yako mwenyewe utaangalia, na kuona jinsi watu waovu wanavyoazibiwa.