Psalms 91:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe umemfanya Mwenyezi-Mungu kuwa kimbilio lako; naam, Mungu aliye juu kuwa kinga yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako; naam, Mwenyezi Mungu ambaye ni kimbilio langu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Wewe Bwana ndiwe kimbilio langu; Umemfanya Aliye juu kuwa makao yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe umemfanya Mwenyezi-Mungu kuwa kimbilio lako; naam, Mungu aliye juu kuwa kinga yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako: naam, BWANA ambaye ni kimbilio langu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako: naam, bwana ambaye ni kimbilio langu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Wewe BWANA ndiwe kimbilio langu; Umemfanya Aliye Juu kuwa makao yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe umemfanya Mwenyezi-Mungu kuwa kimbilio lako; naam, Mungu aliye juu kuwa kinga yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe ulisema: Bwana ni kimbilio langu, naye Alioko huko juu unamtumia kuwa kao lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Wewe BWANA ndiwe kimbilio langu; Umemfanya Aliye juu kuwa makao yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe umemufanya Yawe kuwa kimbilio lako; Mungu anayekuwa juu kuwa tegemeo lako.