Psalms 92:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi. Wimbo wa siku ya Sabato) Ni vema kukushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kuliimbia sifa jina lako, ee Mungu Mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni vyema kumshukuru Mwenyezi Mungu na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni neno jema kumshukuru Bwana, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni vema kukushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kuliimbia sifa jina lako, ee Mungu Mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi: Wimbo Wa Sabato) Ni vyema kumshukuru BWANA na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni vyema kumshukuru bwana na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni neno jema kumshukuru BWANA, Na kuliimbia jina lako sifa, Ee Uliye Juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni vema kukushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kuliimbia sifa jina lako, ee Mungu Mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni kitu kizuri kumshukuru Bwana na kuliimbia Jina lako, ulioko huko juu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni neno jema kumshukuru BWANA, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi. Wimbo wa Siku ya Sabato.