Psalms 92:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe umenipa nguvu kama nyati; umenimiminia mafuta ya kuburudisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeitukuza pembe yangu kama ile ya nyati dume, mafuta mazuri yamemiminwa juu yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali pembe yangu umeiinua kama pembe ya nyati, Nimepakwa mafuta mabichi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe umenipa nguvu kama nyati; umenimiminia mafuta ya kuburudisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeitukuza pembe yangu kama ile ya nyati dume, mafuta mazuri yamemiminwa juu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeitukuza pembe yangu kama ile ya nyati dume, mafuta mazuri yamemiminwa juu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali pembe yangu umeiinua kama pembe ya nyati, Nimepakwa mafuta mabichi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe umenipa nguvu kama nyati; umenimiminia mafuta ya kuburudisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini baragumu langu umelielekeza juu kama pembe za nyati, nikafurikiwa na mafuta ya mwaka huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali pembe yangu umeiinua kama pembe ya nyati, Nimepakwa mafuta mabichi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao waadui zako, ee Yawe, hao waadui zako, hakika wataangamia; wote wanaotenda maovu, watatawanyika!