Psalms 92:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa macho nimeona maadui zangu wameshindwa; nimesikia kilio chao watendao maovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa, masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jicho langu limewatazama walioniotea, Sikio langu limesikia habari za waovu walionishambulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa macho nimeona maadui zangu wameshindwa; nimesikia kilio chao watendao maovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa, masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa, masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jicho langu limeona kuanguka kwa adui zangu, Sikio langu limesikia maangamizi ya waovu walionishambulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa macho nimeona maadui zangu wameshindwa; nimesikia kilio chao watendao maovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho yangu yataona furaha kwao walioninyatia, masikio yangu yatayasikia na kiyafurahia, wabaya walioniinukia waliyofanyiziwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jicho langu limewatazama walioniotea, Sikio langu limesikia habari za waovu walionishambulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe umenipa nguvu kama mbogo; umenimimia mafuta kwa kunifurahia.