Psalms 92:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waadilifu hustawi kama mitende; hukua kama mierezi ya Lebanoni!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wenye haki watastawi kama mtende, watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye haki atasitawi kama mtende, Atakua kama mwerezi wa Lebanoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waadilifu hustawi kama mitende; hukua kama mierezi ya Lebanoni!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wenye haki watastawi kama mtende, watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wenye haki watastawi kama mtende, watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye haki atastawi kama mtende, Atakua kama mwerezi wa Lebanoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waadilifu hustawi kama mitende; hukua kama mierezi ya Lebanoni!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwongofu atachipuka kama mtende, atakua kama mwangati ulioko Libanoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye haki atasitawi kama mtende, Atakua kama mwerezi wa Lebanoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa macho yangu, nimeona waadui zangu wameshindwa; kwa masikio yangu, nimesikia kilio cha wanaotenda maovu.