Psalms 92:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama miti iliyopandwa nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu, hustawi katika nyua za Mungu wetu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
waliopandwa katika nyumba ya Mwenyezi Mungu, watastawi katika nyua za Mungu wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliopandwa katika nyumba ya Bwana Watasitawi katika nyua za Mungu wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama miti iliyopandwa nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu, hustawi katika nyua za Mungu wetu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
waliopandwa katika nyumba ya BWANA, watastawi katika nyua za Mungu wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
waliopandwa katika nyumba ya bwana, watastawi katika nyua za Mungu wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliopandwa katika nyumba ya BWANA Watastawi katika nyua za Mungu wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama miti iliyopandwa nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu, hustawi katika nyua za Mungu wetu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye Nyumba ya Bwana wako wlaiopandwa huko, watachipuza matawi katika nyua zake Mungu wetu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliopandwa katika nyumba ya BWANA Watasitawi katika nyua za Mungu wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa haki wanastawi kama mingazi; wanakomaa kama mierezi ya Lebanoni!