Psalms 92:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
huendelea kuzaa matunda hata uzeeni; daima wamejaa utomvu na wabichi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda, watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watazaa matunda hadi wakati wa uzee, Watajaa utomvu, watakuwa na ubichi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
huendelea kuzaa matunda hata uzeeni; daima wamejaa utomvu na wabichi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda, watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda, watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watazaa matunda hadi wakati wa uzee, Watajaa utomvu, watakuwa na ubichi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
huendelea kuzaa matunda hata uzeeni; daima wamejaa utomvu na wabichi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ijapo, wawe wazee, wataendelea kuzaa, maana watakuwa wenye utomvu na majani mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watazaa matunda hadi wakati wa uzee, Watajaa utomvu, watakuwa na ubichi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama miti iliyopandwa katika nyumba ya Yawe, wanastawi katika viwanja vya Mungu wetu;