Psalms 92:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wapate kutangaza kwamba Mwenyezi-Mungu ni mnyofu, Mwamba wangu, kwake hamna upotovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakitangaza, “Mwenyezi Mungu ni mkamilifu; yeye ni Mwamba wangu, na ndani yake hamna uovu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watangaze ya kuwa Bwana ni mwenye adili, Mwamba wangu, ndani yake hamna udhalimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wapate kutangaza kwamba Mwenyezi-Mungu ni mnyofu, Mwamba wangu, kwake hamna upotovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakitangaza, “BWANA ni mkamilifu; yeye ni Mwamba wangu, na ndani yake hamna uovu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakitangaza, “ bwana ni mkamilifu; yeye ni Mwamba wangu, na ndani yake hamna uovu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watangaze ya kuwa BWANA ni mwenye adili, Mwamba wangu, ndani yake hamna udhalimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wapate kutangaza kwamba Mwenyezi-Mungu ni mnyofu, Mwamba wangu, kwake hamna upotovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo watautangaza unyofu, Bwana alio nao; mwake yeye aliye mwamba wangu hamna upotovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watangaze ya kuwa BWANA ni mwenye adili, Mwamba wangu, ndani yake hamna udhalimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
inaendelea kuzaa matunda hata katika uzee; siku zote wamejaa utomvu na wabichi,