Psalms 92:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni vema kutangaza fadhili zako asubuhi, na uaminifu wako nyakati za usiku,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuutangaza upendo wako asubuhi, na uaminifu wako wakati wa usiku,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuzitangaza rehema zako asubuhi, Na uaminifu wako wakati wa usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni vema kutangaza fadhili zako asubuhi, na uaminifu wako nyakati za usiku,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuutangaza upendo wako asubuhi, uaminifu wako wakati wa usiku,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuutangaza upendo wako asubuhi, na uaminifu wako wakati wa usiku,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuzitangaza rehema zako asubuhi, Na uaminifu wako wakati wa usiku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni vema kutangaza fadhili zako asubuhi, na uaminifu wako nyakati za usiku,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
asubuhi kuutangaza upole wako, tena usiku welekevu wako
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuzitangaza rehema zako asubuhi, Na uaminifu wako wakati wa usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni vizuri kukushukuru, ee Yawe, kuliimbia jina lako sifa, ee Mungu Mukubwa.