Psalms 92:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, ni makuu mno! Mawazo yako ni mazito mno!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, jinsi yalivyo makuu matendo yako! Mawazo yako ni mafumbo makubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, ni makuu mno! Mawazo yako ni mazito mno!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, jinsi yalivyo makuu matendo yako! Mawazo yako ni mafumbo makubwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, ni makuu mno! Mawazo yako ni mazito mno!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kazi zako, Bwana, ni kubwa peke yao, mawazo yako ni marefu mno, hayachunguziki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, jinsi yalivyo makuu matendo yako! Mawazo yako ni mafumbo makubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, matendo yako makubwa yananifurahisha; nitashangilia kwa sababu ya mambo yote uliyotenda.