Psalms 92:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu mpumbavu hawezi kufahamu, wala mjinga hajui jambo hili:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mjinga hafahamu, mpumbavu haelewi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mjinga hayatambui hayo, Wala mpumbavu hayafahamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu mpumbavu hawezi kufahamu, wala mjinga hajui jambo hili:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mjinga hafahamu, mpumbavu haelewi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mjinga hafahamu, mpumbavu haelewi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mjinga hayatambui hayo, Wala mpumbavu hayafahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu mpumbavu hawezi kufahamu, wala mjinga hajui jambo hili:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtu asiyejua kitu hayatambui, wala mpumbavu hayaoni hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mjinga hayatambui hayo, Wala mpumbavu hayafahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo yako, ee Yawe, ni makubwa sana! Mawazo yako hayatambulikani!