Psalms 92:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwamba waovu waweza kustawi kama nyasi, watenda maovu wote waweza kufanikiwa, lakini mwisho wao ni kuangamia milele,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao maovu wanastawi, wataangamizwa milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakistawi. Ni kwa kusudi waangamizwe milele;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwamba waovu waweza kustawi kama nyasi, watenda maovu wote waweza kufanikiwa, lakini mwisho wao ni kuangamia milele,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao mabaya wanastawi, wataangamizwa milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao mabaya wanastawi, wataangamizwa milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakastawi. Mwishowe wataangamizwa milele;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwamba waovu waweza kustawi kama nyasi, watenda maovu wote waweza kufanikiwa, lakini mwisho wao ni kuangamia milele,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiomcha Mungu wakichipuka kama majani, nao wote wafanyao maovu wakichanua vizuri, ni kwamba tu: Sharti waangamizwe kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakistawi. Ni kwa kusudi waangamizwe milele;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu mupumbafu hawezi kufahamu, wala mujinga hajui jambo hili: