Psalms 92:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bali wewe, ee Mwenyezi-Mungu, u mkuu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali wewe, Ee Mwenyezi Mungu, utatukuzwa milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali Wewe, Bwana, U Mtukufu hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bali wewe, ee Mwenyezi-Mungu, u mkuu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali wewe, Ee BWANA, utatukuzwa milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali wewe, Ee bwana, utatukuzwa milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali Wewe, BWANA, U Mtukufu hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bali wewe, ee Mwenyezi-Mungu, u mkuu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe, Bwana, unatukuka kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali Wewe, BWANA, U Mtukufu hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwamba waovu wanaweza kustawi kama majani, watenda maovu wote wanaweza kufanikiwa, lakini mwisho wao ni kuangamia milele.