Psalms 92:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao maadui zako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, hao maadui zako, hakika wataangamia; wote watendao maovu, watatawanyika!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, hakika adui zako, hakika adui zako wataangamia. Wote watendao maovu watatawanyika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hao adui zako, Ee Bwana, Hao adui zako watapotea, Na watendao maovu watatawanyika wote pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao maadui zako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, hao maadui zako, hakika wataangamia; wote watendao maovu, watatawanyika!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, hakika adui zako, hakika adui zako wataangamia, wote watendao mabaya watatawanyika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, hakika adui zako, hakika adui zako wataangamia. Wote watendao mabaya watatawanyika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hao adui zako, Ee BWANA, Hao adui zako watapotea, Na watendao maovu watatawanyika wote pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao maadui zako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, hao maadui zako, hakika wataangamia; wote watendao maovu, watatawanyika!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani, Bwana, ukiwatazama wao wachukivu wako, ukiwatazama vema wao wachukivu wako, mara hupotea, wote wafanyao maovu hutawanyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hao adui zako, Ee BWANA, Hao adui zako watapotea, Na watendao maovu watatawanyika wote pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe, ee Yawe, ni mukubwa kwa milele.