Psalms 93:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiti chako cha enzi ni imara tangu kale; wewe umekuwapo kabla ya nyakati zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kiti chako cha enzi kimekuwa thabiti tangu zamani; wewe umekuwa tangu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani; Wewe ndiwe uliye tangu milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiti chako cha enzi ni imara tangu kale; wewe umekuwapo kabla ya nyakati zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kiti chako cha enzi kimekuwa thabiti tangu zamani; wewe umekuwako tangu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kiti chako cha enzi kimekuwa thabiti tangu zamani; wewe umekuwako tangu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani; Wewe ndiwe uliye tangu milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiti chako cha enzi ni imara tangu kale; wewe umekuwapo kabla ya nyakati zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kiti chake cha kifalme kimeshikizwa na nguvu tangu mwanzo, tangu kale na kale wewe upo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani; Wewe ndiwe uliye tangu milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiti chako cha kifalme ni imara tangu zamani; wewe umekuwa mbele ya nyakati zote.