Psalms 93:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilindi vimetoa sauti, ee Mwenyezi-Mungu; naam, vimepaza sauti yake, vilindi vyapaza tena mvumo wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bahari zimepaza, Ee Mwenyezi Mungu, bahari zimepaza sauti zake; bahari zimepaza sauti za mawimbi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, mito imepaza, Mito imepaza sauti zake, Mito imepaza uvumi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilindi vimetoa sauti, ee Mwenyezi-Mungu; naam, vimepaza sauti yake, vilindi vyapaza tena mvumo wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bahari zimeinua, Ee BWANA, bahari zimeinua sauti zake; bahari zimeinua sauti za mawimbi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bahari zimeinua, Ee bwana, bahari zimeinua sauti zake; bahari zimeinua sauti za mawimbi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, mito imepaza, Mito imepaza sauti zake, Mito imepaza uvumi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilindi vimetoa sauti, ee Mwenyezi-Mungu; naam, vimepaza sauti yake, vilindi vyapaza tena mvumo wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, huzivumisha sauti zao mito mikubwa, kweli mito mikubwa huzivumisha sauti zao, huvivumisha vishindo vyao hiyo mito mikubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, mito imepaza, Mito imepaza sauti zake, Mito imepaza uvumi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, bahari zimetoa sauti; zimenyanyua sauti zao, bahari zinanyanyua tena uvumi wao.