Psalms 93:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ana enzi kuu juu mbinguni, ana nguvu kuliko mlio wa bahari, ana nguvu kuliko mawimbi ya maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye ni mkuu kuliko ngurumo ya maji makuu, ni mkuu kuliko mawimbi ya bahari: Mwenyezi Mungu aishiye juu sana ni mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kupita sauti ya maji mengi, maji makuu, Kupita mawimbi ya bahari yaumkayo, Bwana Aliye juu ndiye mwenye ukuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ana enzi kuu juu mbinguni, ana nguvu kuliko mlio wa bahari, ana nguvu kuliko mawimbi ya maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye ni mkuu kuliko ngurumo ya maji makuu, ni mkuu kuliko mawimbi ya bahari: BWANA aishiye juu sana ni mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye ni mkuu kuliko ngurumo ya maji makuu, ni mkuu kuliko mawimbi ya bahari: bwana aishiye juu sana ni mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kupita sauti ya maji mengi, maji makuu, Kupita mawimbi ya bahari yaumkayo, BWANA Aliye Juu ndiye mwenye ukuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ana enzi kuu juu mbinguni, ana nguvu kuliko mlio wa bahari, ana nguvu kuliko mawimbi ya maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nguvu za mavumi ya hayo mafuriko ya maji yaliyo mengi, hata nguvu za mawimbi ya bahari yaumukayo zinapitwa na nguvu zake Bwana atukukaye. Mashuhuda yako hutegemeka sana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kupita sauti ya maji mengi, maji makuu, Kupita mawimbi ya bahari yaumkayo, BWANA Aliye juu ndiye mwenye ukuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ana mamlaka juu mbinguni, ana nguvu kuliko mulio wa bahari, ana nguvu kuliko mawimbi ya maji.