Psalms 93:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, maagizo yako ni thabiti; nyumba yako ni takatifu milele na milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, sheria zako ni imara; utakatifu umepamba nyumba yako pasipo mwisho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shuhuda zako ni amini sana; Utakatifu ndio uifaao nyumba yako, Ee Bwana, milele na milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, maagizo yako ni thabiti; nyumba yako ni takatifu milele na milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, sheria zako ni imara; utakatifu umepamba nyumba yako pasipo mwisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, sheria zako ni imara; utakatifu umepamba nyumba yako pasipo mwisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shuhuda zako ni amini sana; Utakatifu ndio uifaao nyumba yako, Ee BWANA, milele na milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, maagizo yako ni thabiti; nyumba yako ni takatifu milele na milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
pambo liipasalo Nyumba yako, Bwana, ndio utakatifu, nao utakuwako siku zote zitakazokuwa.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shuhuda zako ni amini sana; Utakatifu ndio uifaao nyumba yako, Ee BWANA, milele na milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, maagizo yako ni imara; nyumba yako ni takatifu milele.