Psalms 94:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu mwenye kulipiza kisasi, ewe Mungu mlipiza kisasi, ujitokeze!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, ulipizaye kisasi, Ee Mungu ulipizaye kisasi, uangaze sasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Mungu wa kisasi, Mungu wa kisasi, uangaze,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu mwenye kulipiza kisasi, ewe Mungu mlipiza kisasi, ujitokeze!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, ulipizaye kisasi, Ee Mungu ulipizaye kisasi, uangaze sasa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, ulipizaye kisasi, Ee Mungu ulipizaye kisasi, uangaze sasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Mungu wa kisasi, Mungu wa kisasi, uangaze,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu mwenye kulipiza kisasi, ewe Mungu mlipiza kisasi, ujitokeze!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana uliye Mungu mwenye lipizi, Mungu uliye mwenye lipizi, tokea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Mungu wa kisasi, Mungu wa kisasi, uangaze,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, Mungu mwenye kulipiza kisasi, ewe Mungu mwenye kulipiza kisasi, ujitokeze!