Psalms 94:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenye kutawala mataifa, je, hawezi kuadhibu? Mkufunzi wa wanadamu, je, hana maarifa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, anayeadhibisha mataifa asiadhibu? Je, awafundishaye wanadamu asiwe na maarifa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Awaadibuye mataifa asikemee? Amfundishaye mwanadamu asijue?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenye kutawala mataifa, je, hawezi kuadhibu? Mkufunzi wa wanadamu, je, hana maarifa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, anayeadhibisha mataifa asiadhibu? Je, awafundishaye wanadamu asiwe na maarifa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, anayeadhibisha mataifa asiadhibu? Je, awafundishaye wanadamu asiwe na maarifa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Awaadhibuye mataifa, asikemee? Amfundishaye mwanadamu, asijue?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenye kutawala mataifa, je, hawezi kuadhibu? Mkufunzi wa wanadamu, je, hana maarifa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Achapuaye wamizimu, asipatilize? Siye yeye afundishaye watu, wapate kujua?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Awaadibuye mataifa asikemee? Amfundishaye mwanadamu asijue?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye kuonya mataifa, yeye hawezi kuazibu? Mwenye kufundisha wanadamu, yeye hana akili?