Psalms 94:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ayajua mawazo ya watu; anajua kwamba hayafai kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anajua mawazo ya mwanadamu; anajua kwamba ni ubatili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana anajua mawazo ya mwanadamu, Ya kuwa ni ubatili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ayajua mawazo ya watu; anajua kwamba hayafai kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anajua mawazo ya mwanadamu, anajua ya kwamba hayafai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anajua mawazo ya mwanadamu; anajua kwamba ni ubatili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA anajua mawazo ya mwanadamu, Ya kuwa ni ubatili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ayajua mawazo ya watu; anajua kwamba hayafai kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana huyatambua mawazo ya watu, ya kuwa hayo ndiyo yaliyo ya bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA anajua mawazo ya mwanadamu, Ya kuwa ni ubatili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anajua mawazo ya watu; anajua kwamba hayafai kitu.