Psalms 94:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri mtu unayemfunza nidhamu, ee Mwenyezi-Mungu, mtu unayemfundisha sheria yako,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, mtu unayemfundisha kwa sheria yako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, heri mtu yule umwadibuye, Na kumfundisha kwa sheria yako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri mtu unayemfunza nidhamu, ee Mwenyezi-Mungu, mtu unayemfundisha sheria yako,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, mtu unayemfundisha kwa sheria yako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, mtu unayemfundisha kwa sheria yako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, heri mtu yule umwadhibuye, Na kumfundisha kwa sheria yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri mtu unayemfunza nidhamu, ee Mwenyezi-Mungu, mtu unayemfundisha sheria yako,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni mtu, umchapuaye, wewe Bwana, na kumfundisha yaliyomo katika Maonyo yako, ayajue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, heri mtu yule umwadibuye, Na kumfundisha kwa sheria yako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutu unayemwadibisha, ee Yawe, mutu unayefundisha sheria yako,