Psalms 94:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili siku ya taabu apate utulivu, hadi waovu wachimbiwe shimo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
unampa utulivu siku za shida, hadi shimo litakapokuwa limechimbwa kwa ajili ya mwovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upate kumstarehesha siku za mabaya, Hata asiye haki atakapochimbiwa shimo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili siku ya taabu apate utulivu, hadi waovu wachimbiwe shimo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
unampa utulivu siku za shida, mpaka shimo litakapokuwa limechimbwa kwa ajili ya mwovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
unampa utulivu siku za shida, mpaka shimo litakapokuwa limechimbwa kwa ajili ya mwovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukimponya katika siku za shida, Hadi asiye haki atakapochimbiwa shimo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili siku ya taabu apate utulivu, hadi waovu wachimbiwe shimo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo atajituliza kwa kuona, siku za wabaya zilivyo, mpaka wasiokucha wachimbiwe mashimo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upate kumstarehesha siku za mabaya, Hata asiye haki atakapochimbiwa shimo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi siku ya taabu apate utulivu, mpaka waovu wachimbiwe shimo.