Psalms 94:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu hatawaacha watu wake; hatawatupa hao walio mali yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu hatawakataa watu wake, hatauacha urithi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana hatawatupa watu wake, Wala hutauacha urithi wake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu hatawaacha watu wake; hatawatupa hao walio mali yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa BWANA hatawakataa watu wake, hatauacha urithi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa bwana hatawakataa watu wake, hatauacha urithi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA hatawatupa watu wake, Wala hutauacha urithi wake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu hatawaacha watu wake; hatawatupa hao walio mali yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana hatawatupa walio ukoo wake, nao walio fungu lake hatawaacha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA hatawatupa watu wake, Wala hutauacha urithi wake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe hatawaachilia watu wake; hatawatupa hao wanaokuwa mali yake.