Psalms 94:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana hukumu zitatolewa kwa haki tena, na wanyofu wote wa moyo wataizingatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, wote walio na mioyo minyofu wataifuata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hukumu itairejea haki, Na wote walio wanyofu wa moyo wataifuata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana hukumu zitatolewa kwa haki tena, na wanyofu wote wa moyo wataizingatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, wote walio na mioyo minyofu wataifuata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, wote walio na mioyo minyofu wataifuata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hukumu itarejea kwa wenye haki, Na wote walio wanyofu wa moyo wataifuata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana hukumu zitatolewa kwa haki tena, na wanyofu wote wa moyo wataizingatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani pako bado, watu wanapoamuliwa kwa wongofu wote wenye mioyo inyokayo watapafuata hapohapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hukumu itairejea haki, Na wote walio wanyofu wa moyo wataifuata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana hukumu zitatolewa kwa haki tena, na wote wenye moyo wa usawa watazifuata.