Psalms 94:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani aliyenisaidia kumpinga mtu mwovu? Nani aliyekuwa upande wangu dhidi ya wabaya?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani atakayesimama Kwa ajili yangu juu ya wabaya? Ni nani atakayenisaidia Juu yao wafanyao maovu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani aliyenisaidia kumpinga mtu mwovu? Nani aliyekuwa upande wangu dhidi ya wabaya?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani atakayesimama Kwa ajili yangu juu ya wabaya? Ni nani atakayenisaidia Juu yao wafanyao maovu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani aliyenisaidia kumpinga mtu mwovu? Nani aliyekuwa upande wangu dhidi ya wabaya?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani atakayeinuka kuwa upande wangu, nikipigana nao wabaya? Yuko nani atakayesimama kwangu, nikipigana nao wafanyao maovu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani atakayesimama Kwa ajili yangu juu ya wabaya? Ni nani atakayenisaidia Juu yao wafanyao maovu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani aliyenisaidia kumupinga mutu mwovu? Nani aliyekuwa upande wangu juu ya wabaya?