Psalms 94:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asingalinisaidia, ningalikwisha kwenda kwenye nchi ya wafu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama Mwenyezi Mungu hangenisaidia upesi, ningeishi katika kimya cha kifo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama Bwana asingalikuwa msaada wangu, Nafsi yangu kwa upesi ingalikaa penye kimya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asingalinisaidia, ningalikwisha kwenda kwenye nchi ya wafu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama BWANA asingelinisaidia upesi, ningelikuwa ninaishi katika ukimya wa kifo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama bwana asingelinisaidia upesi, ningelikuwa ninaishi katika ukimya wa kifo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama BWANA asingalikuwa msaada wangu, Nafsi yangu kwa upesi ingalikaa penye kimya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asingalinisaidia, ningalikwisha kwenda kwenye nchi ya wafu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Bwana asingekuwa anisaidiaye, roho yangu ingekuwa imekwisha kulala mahali palipo kimya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama BWANA asingalikuwa msaada wangu, Nafsi yangu kwa upesi ingalikaa penye kimya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe asingalinisaidia, ningalikwisha kwenda kwenye inchi ya wafu.