Psalms 94:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mahangaiko ya moyo wangu yanapozidi, wewe wanifariji na kunifurahisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wasiwasi ulipokuwa mwingi ndani yangu, faraja yako ilinipa furaha nafsini mwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika wingi wa mawazo ya moyoni mwangu, Faraja zako zaifurahisha roho yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mahangaiko ya moyo wangu yanapozidi, wewe wanifariji na kunifurahisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wasiwasi ulipokuwa mwingi ndani yangu, faraja yako ilinipa furaha nafsini mwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wasiwasi ulipokuwa mwingi ndani yangu, faraja yako ilinipa furaha nafsini mwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika wingi wa mawazo ya moyoni mwangu, Faraja zako zinaifurahisha roho yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mahangaiko ya moyo wangu yanapozidi, wewe wanifariji na kunifurahisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mawazo yalipozidi kuwa mengi moyoni mwangu, ndipo, matulizo yako yalipoichangamsha roho yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika wingi wa mawazo ya moyoni mwangu, Faraja zako zaifurahisha roho yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mahangaiko ya moyo wangu yanapozidi, wewe unanifariji na kunifurahisha.