Psalms 94:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usimame, ee hakimu wa watu wote; uwaadhibu wenye kiburi wanavyostahili!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mhukumu wa dunia, inuka, uwalipize wenye kiburi kama wanavyostahili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye kuihukumu nchi, ujitukuze, Uwape wenye kiburi stahili zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usimame, ee hakimu wa watu wote; uwaadhibu wenye kiburi wanavyostahili!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee mhukumu wa dunia, inuka, uwalipize wenye kiburi kama wanavyostahili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mhukumu wa dunia, inuka, uwalipize wenye kiburi kama wanavyostahili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye kuihukumu nchi, ujitukuze, Uwape wenye kiburi stahili zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usimame, ee hakimu wa watu wote; uwaadhibu wenye kiburi wanavyostahili!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe uliyeiamulia nchi, inuka! Warudishie wenye majivuno matendo yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye kuihukumu nchi, ujitukuze, Uwape wenye kiburi stahili zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimame, ee mwamuzi wa watu wote; uwaazibu wenye kiburi inavyowastahili!