Psalms 94:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe huwezi kushirikiana na mahakimu dhalimu, wanaotunga kanuni za kutetea maovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, kiti cha utawala wa udhalimu kitajiunga nawe, ule utawala uletao taabu kutokana na sheria zake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Kiti cha udhalimu kishirikiane nawe, Kitungacho madhara kwa njia ya sheria?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe huwezi kushirikiana na mahakimu dhalimu, wanaotunga kanuni za kutetea maovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, kiti cha utawala wa udhalimu kitajiunga nawe, ule utawala uletao taabu kutokana na sheria zake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, kiti cha utawala wa udhalimu kitajiunga nawe, ule utawala uletao taabu kutokana na sheria zake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Watawala waovu wanaweza kushirikiana nawe, Wale watungao madhara kwa njia ya sheria?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe huwezi kushirikiana na mahakimu dhalimu, wanaotunga kanuni za kutetea maovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Wewe uko na bia napo panapoamuliwa kwa ukorofi? Maana ndipo panapoleta maumivu kwa kuyapotoa yaliyo ya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Kiti cha udhalimu kishirikiane nawe, Kitungacho madhara kwa njia ya sheria?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe hauwezi kushirikiana na waamuzi wapotovu, wanaotunga masharti za kutetea maovu.