Psalms 94:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao wanaafikiana kuwaangamiza waadilifu, na kuwahukumu watu wasio na hatia wauawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huungana kuwashambulia wenye haki, kuwahukumu kufa wasio na hatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huishambulia nafsi yake mwenye haki, Na kuihukumu damu isiyo na hatia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao wanaafikiana kuwaangamiza waadilifu, na kuwahukumu watu wasio na hatia wauawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huungana kuwashambulia wenye haki, kuwahukumu kufa wasio na hatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huungana kuwashambulia wenye haki, kuwahukumu kufa wasio na hatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa pamoja wanaishambulia nafsi yake mwenye haki, Na kuihukumu damu isiyo na hatia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao wanaafikiana kuwaangamiza waadilifu, na kuwahukumu watu wasio na hatia wauawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao huishambulia roho yake aliye mwongofu, humwaga damu zao wasiokosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huishambulia nafsi yake mwenye haki, Na kuihukumu damu isiyo na hatia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao wanapatana kuwaangamiza watu wa haki, na kuwahukumu watu wasiokuwa na kosa wauawe.