Psalms 94:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mwenyezi-Mungu ni ngome yangu; Mungu wangu ni mwamba wa usalama wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mwenyezi Mungu amekuwa ngome yangu, na Mungu wangu amekuwa mwamba ninaoukimbilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Bwana amekuwa ngome kwangu, Na Mungu wangu mwamba wangu wa kukimbilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mwenyezi-Mungu ni ngome yangu; Mungu wangu ni mwamba wa usalama wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini BWANA amekuwa ngome yangu, na Mungu wangu amekuwa mwamba ninaoukimbilia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bwana amekuwa ngome yangu, na Mungu wangu amekuwa mwamba ninaoukimbilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini BWANA amekuwa ngome kwangu, Na Mungu wangu mwamba wangu wa kukimbilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mwenyezi-Mungu ni ngome yangu; Mungu wangu ni mwamba wa usalama wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana ndiye atakayekuwa ngome yangu, yeye Mungu ni mwamba wangu wa kuukimbilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini BWANA amekuwa ngome kwangu, Na Mungu wangu mwamba wangu wa kukimbilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yawe ni kimbilio langu; Mungu wangu ni kikingio changu.