Psalms 94:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uovu wao atawarudishia wao wenyewe, atawafutilia mbali kwa sababu ya ubaya wao. Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, atawafutilia mbali!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye atawalipa kwa ajili ya dhambi zao na atawaangamiza kwa ajili ya maovu yao; Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, atawaangamiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atawarudishia uovu wao, Atawaangamiza katika ubaya wao, Naam, Bwana, Mungu wetu, atawaangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uovu wao atawarudishia wao wenyewe, atawafutilia mbali kwa sababu ya ubaya wao. Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, atawafutilia mbali!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye atawalipa kwa ajili ya dhambi zao na atawaangamiza kwa ajili ya maovu yao; BWANA Mungu wetu atawaangamiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye atawalipa kwa ajili ya dhambi zao na atawaangamiza kwa ajili ya maovu yao; bwana Mwenyezi Mungu wetu atawaangamiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atawarudishia uovu wao, Atawaangamiza katika ubaya wao, Naam, BWANA, Mungu wetu, atawaangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uovu wao atawarudishia wao wenyewe, atawafutilia mbali kwa sababu ya ubaya wao. Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, atawafutilia mbali!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atawalipiza mapotovu yao na kuwamaliza kwa ubaya wao, Bwana Mungu wetu atawamaliza kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atawarudishia uovu wao, Atawaangamiza katika ubaya wao, Naam, BWANA, Mungu wetu, atawaangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawarudishia uovu wao wenyewe, atawateketeza kwa sababu ya ubaya wao. Yawe, Mungu wetu, atawateketeza kabisa!