Psalms 94:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu wataona fahari hata lini? Watajisifia mpaka lini, ee Mwenyezi-Mungu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, hadi lini waovu, hadi lini waovu watashangilia?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, hata lini wasio haki, Hata lini wasio haki watashangilia?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu wataona fahari hata lini? Watajisifia mpaka lini, ee Mwenyezi-Mungu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata lini, waovu, Ee BWANA, hata lini waovu watashangilia?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata lini, waovu, Ee bwana, hata lini waovu watashangilia?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, hadi lini wasio haki, Hadi lini wasio haki watashangilia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu wataona fahari hata lini? Watajisifia mpaka lini, ee Mwenyezi-Mungu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiokucha, Bwana, wakubeze mpaka lini? Hao wasiokucha waseme makuu yao mpaka lini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, hata lini wasio haki, Hata lini wasio haki watashangilia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wataona utukufu mpaka wakati gani? Watajisifia mpaka wakati gani, ee Yawe?