Psalms 94:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata lini waovu watajigamba kwa maneno? Waovu wote watajivuna mpaka lini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanamimina maneno ya kiburi, watenda maovu wote wamejaa majivuno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wote watendao uovu watatoa maneno, Na kusema majivuno, na kufanya kiburi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata lini waovu watajigamba kwa maneno? Waovu wote watajivuna mpaka lini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanamimina maneno ya kiburi, watenda mabaya wote wamejaa majivuno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanamimina maneno ya kiburi, watenda mabaya wote wamejaa majivuno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wote watendao uovu watatoa maneno, Na kusema majivuno, na kufanya kiburi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata lini waovu watajigamba kwa maneno? Waovu wote watajivuna mpaka lini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanazidi kusimuliana na kusema makorofi, wote wafanyao maovu hujisemea hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wote watendao uovu watatoa maneno, Na kusema majivuno, na kufanya kiburi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mpaka wakati gani waovu watajigamba kwa maneno? Watajivuna na kujitapa mpaka wakati gani?