Psalms 94:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanawaangamiza watu wako, ee Mwenyezi-Mungu, wanawakandamiza hao walio mali yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, wanawaponda watu wako; wanawatesa walio urithi wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, wanawaseta watu wako; Wanautesa urithi wako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanawaangamiza watu wako, ee Mwenyezi-Mungu, wanawakandamiza hao walio mali yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, wanawaponda watu wako, wanawaonea urithi wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, wanawaponda watu wako, wanawaonea urithi wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, wanawaponda watu wako; Wanautesa urithi wako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanawaangamiza watu wako, ee Mwenyezi-Mungu, wanawakandamiza hao walio mali yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio ukoo wako huwaponda, walio fungu lako huwatesa;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, wanawaseta watu wako; Wanautesa urithi wako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaangamiza watu wako, ee Yawe, wanawagandamiza hao wanaokuwa mali yako.