Psalms 94:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanawaua wajane na wageni; wanawachinja yatima!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanamchinja mjane na mgeni, na kuwaua yatima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanamwua mjane na mgeni; Wanawafisha yatima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanawaua wajane na wageni; wanawachinja yatima!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanamchinja mjane na mgeni, na kuwaua yatima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanamchinja mjane na mgeni, na kuwaua yatima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanamwua mjane na mgeni; Wanawaua yatima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanawaua wajane na wageni; wanawachinja yatima!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wajane na wageni huwanyonga, wafiwao na wazazi huwaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanamwua mjane na mgeni; Wanawafisha yatima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaua wajane na wageni; wanachinja wayatima.