Psalms 94:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanasema: “Mwenyezi-Mungu haoni, Mungu wa Yakobo hajui!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao husema, “Mwenyezi Mungu haoni, Mungu wa Yakobo hafahamu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao husema, Bwana haoni; Mungu wa Yakobo hafikiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanasema: “Mwenyezi-Mungu haoni, Mungu wa Yakobo hajui!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao husema, “BWANA haoni, Mungu wa Yakobo hafahamu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao husema, “ bwana haoni, Mungu wa Yakobo hafahamu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao husema, BWANA haoni; Mungu wa Yakobo hatambui.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanasema: “Mwenyezi-Mungu haoni, Mungu wa Yakobo hajui!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana havitazami! Ndivyo, wanavyosema, Mungu wa Yakobo havitambui!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao husema, BWANA haoni; Mungu wa Yakobo hafikiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanasema: “Yawe haoni, Mungu wa Yakobo hajui.”