Psalms 94:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wajinga wa mwisho, fikirini kidogo! Enyi wapumbavu, mtapata lini maarifa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikizeni, enyi wajinga miongoni mwa watu; enyi wapumbavu, lini mtakuwa na hekima?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi wajinga miongoni mwa watu, fikirini; Enyi wapumbavu, lini mtakapopata akili?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wajinga wa mwisho, fikirini kidogo! Enyi wapumbavu, mtapata lini maarifa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikia, enyi wajinga miongoni mwa watu, enyi wapumbavu, lini mtakuwa na hekima?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikizeni, enyi wajinga miongoni mwa watu; enyi wapumbavu, lini mtakuwa na hekima?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi wajinga miongoni mwa watu, fikirini; Enyi wapumbavu, lini mtakapopata akili?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wajinga wa mwisho, fikirini kidogo! Enyi wapumbavu, mtapata lini maarifa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vitambueni, ninyi msiojua kitu, mlio wa ukoo wetu! Nanyi wajinga, mtaerevuka lini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi wajinga miongoni mwa watu, fikirini; Enyi wapumbavu, lini mtakapopata akili?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wajinga wa mwisho, mufikiri kidogo! Enyi wapumbafu, mutapata akili wakati gani?