Psalms 95:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njoni tumwimbie Mwenyezi-Mungu, tumshangilie mwamba wa wokovu wetu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni, tumwimbie Mwenyezi Mungu kwa furaha; tumfanyie kelele za shangwe Mwamba wa wokovu wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njoni, tumwimbie Bwana, Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njoni tumwimbie Mwenyezi-Mungu, tumshangilie mwamba wa wokovu wetu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni, tumwimbie BWANA kwa furaha; tumfanyie kelele za shangwe Mwamba wa wokovu wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni, tumwimbie bwana kwa furaha; tumfanyie kelele za shangwe Mwamba wa wokovu wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njoni, tumwimbie BWANA, Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njoni tumwimbie Mwenyezi-Mungu, tumshangilie mwamba wa wokovu wetu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njoni, tumpigie vigelegele yeye Bwana! Aliye mwamba wa wokovu wetu na tumshangilie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njoni, tumwimbie BWANA, Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukuje tumwimbie Yawe, tumushangilie yeye kikingio na mwokozi wetu!