Psalms 95:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa miaka arubaini nilichukizwa nao, nikasema: ‘Kweli, hawa ni watu waliopotoka! Hawajali kabisa njia zangu!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa miaka arobaini nilikasirikia kizazi kile, nikasema, “Hawa ni taifa ambalo mioyo yao imepotoka, nao hawajazijua njia zangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miaka arobaini nalihuzunika na kizazi kile, Nikasema, Hao ni watu waliopotoka mioyo, Hawakuzijua njia zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa miaka arubaini nilichukizwa nao, nikasema: ‘Kweli, hawa ni watu waliopotoka! Hawajali kabisa njia zangu!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa miaka arobaini nilikasirikia kizazi kile, nikasema, “Hawa ni taifa ambalo mioyo yao imepotoka, nao hawajazifahamu njia zangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa miaka arobaini nilikasirikia kizazi kile, nikasema, “Hawa ni taifa ambalo mioyo yao imepotoka, nao hawajazijua njia zangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miaka arobaini nilichukizwa na kizazi kile, Nikasema, Hawa ni watu wenye mioyo inayopotoka, Na wanaopuuza njia zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa miaka arubaini nilichukizwa nao, nikasema: ‘Kweli, hawa ni watu waliopotoka! Hawajali kabisa njia zangu!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikachafuliwa moyo miaka arobaini nao wa kizazi hicho, nikasema: Wao ndio watu walioipoteza mioyo yao, nao ndio waliokataa kuzitambua njia zangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miaka arobaini nalihuzunika na kizazi kile, Nikasema, Hao ni watu waliopotoka mioyo, Hawakuzijua njia zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa miaka makumi ine nilichukizwa nao, nikasema: ‘Kweli, hawa ni watu waliopotoka! Hawajali kabisa njia zangu!’