Psalms 95:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nilikasirika, nikaapa: ‘Hawataingia mahali pangu pa pumziko!’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikaapa kwa hasira yangu Wasiingie rahani mwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nilikasirika, nikaapa: ‘Hawataingia mahali pangu pa pumziko!’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nikaapa katika hasira yangu, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Nikaapa kwa hasira yangu Hawataingia katika pumziko langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nilikasirika, nikaapa: ‘Hawataingia mahali pangu pa pumziko!’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nilijiapia kwa makali yangu: Hawataingia kamwe kwenye kituo changu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikaapa kwa hasira yangu Wasiingie rahani mwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikaapa kwa kasirani kwamba hawataingia kwenye mapumziko niliyowatayarishia.”